Home LOCAL DKT. BITEKO MGENI RASMI MKUTANO WA KITAALUMA WA MAKATIBU MAHSUSI TANZANIA

DKT. BITEKO MGENI RASMI MKUTANO WA KITAALUMA WA MAKATIBU MAHSUSI TANZANIA

Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania unafanyika leo, Mei 23, 2024 katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko.

Mkutano huo ulioanza Mei 20, 2024, utahitimishwa Mei 25, 2024 unalenga kuimarisha utendaji kazi wa watumishi wa kada hiyo ikiwa ni pamoja na kusisitiza umuhimu wa kuzingatia maadili katika maeneo yao ya kazi.

Kaulimbiu ya mkutano huo ni “MAFANIKIO HUANZA NA UAMUZI BORA WA UTENDAJI, TUTUMIE MUDA VIZURI KWA KUFANYAKAZI NA KULETA TIJA

Previous articleJKT HAKUNA MATESO KATIKA MAFUNZO,TUNAMWANDAA KIJANA AWE MTIIFU,MWAMINIFU NA MPENDA KAZI
Next articleMBUNGE AIPONGEZA TAASISI YA MAMA ONGEA NA MWANAO BUNGENI KWA KUGAWA VIATU KWA WANAFUNZI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here