Home LOCAL WAZIRI MKUU ASHIRIKI DUA YA KUMUOMBE HAYATI SHEIKH ABEID AMANI KARUME

WAZIRI MKUU ASHIRIKI DUA YA KUMUOMBE HAYATI SHEIKH ABEID AMANI KARUME

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki dua ya kumuombea Hayati Sheikh Abeid Amani Karume iliyofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar. Dua hiyo pia ilihudhuriwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud Othman na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla.

Viongozi wengine walioshiriki ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi-Bara Abdulrahman Kinana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt. Emmanuel Nchimbi

Kisiwandui-Zanzibar
 Aprili 07, 2024

Previous articleSERIKALI YADHAMIRIA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA
Next articleTUMIENI  BARAZA LA USHINDANI (FCT) KUST AWISHA USHINDANI NA HAKI YA MLAJI  KATIKA SOKO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here