Home LOCAL NAIBU KATIBU MKUU DKT. SERERA APOKELEWA WIZARANI

NAIBU KATIBU MKUU DKT. SERERA APOKELEWA WIZARANI

Katibu Mkuu wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa akimpokea Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Suleiman Serera alipowasili ofisi za wizara hiyo Mtumba Jijini Dodoma tarehe 9 Aprili, 2024 mara baada ya kuteuliwa na kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan hivi karibuni.

Naibu Katibu Mkuu Dkt. Serera amepokelewa pia na Menejimenti na watumishi wa Wizara katika mapokezi yaliyopambwa na kikundi cha Sanaa na hamasa cha Wizara hiyo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here