Home LOCAL WAZIRI MKUU ASHIRIKI IFTAR ALIYOWAANDALIA WANANCHI WA RUANGWA

WAZIRI MKUU ASHIRIKI IFTAR ALIYOWAANDALIA WANANCHI WA RUANGWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa akizungumza na wananchi mbalimbali waliohudhuria Iftafri aliyoandaa  Machi 22, 2024 Wilaya ya Ruangwa Mkoa wa Lindi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa akifurahia jambo na Shekhe Alhaji Maulana Mwahibu wakati wa Iftari aliyoandaa  Machi 22, 2024 Wilaya ya Ruangwa Mkoa wa Lindi, Kushoto ni Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geofrey Pinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, akisalimiana na wananchi mbalimbali waliohudhuria Iftafri aliyoandaa  Machi 22, 2024 Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi ikiwa ni sehemu ya kuonesha upendo na tukio la imani katika mwezi mtukufu wa Ramadhan unaoendelea. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Previous articleTANZANIA NA KENYA ZAKUBALIANA KUTATUA VIKWAZO VYA KIBIASHARA VISIVYO VYA KIUSHURU 
Next articleBoT KUENDELEZA JUHUDI ZA KUKABILIANA NA UPUNGUFU WA FEDHA ZA KIGENI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here