Home LOCAL UJENZI WA KITUO CHA KUSUKUMA MAJI BONYOKWA, KAZI IMEKAMILIKA

UJENZI WA KITUO CHA KUSUKUMA MAJI BONYOKWA, KAZI IMEKAMILIKA

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imekamilisha ujenzi wa kituo cha kusukuma maji (booster pump) katika eneo la Mavurunza kata ya Bonyokwa wilayani Ubungo utakaosaidia kuongeza upatikanaji wa maji kwa takribani wateja 12,000 katika maeneo ya Bonyokwa kwa kichwa, Bonyokwa stand, Bonyokwa mnara wa Voda, Bonyokwa Kisiwani juu na chini, Chuo cha Masanja, Canada, Macedonia, viwanja vya bank, Shedafa, JKT B, Msikiti wa kijani, Mwisho wa lami na viwanja vya JKT.

Ujenzi wa kituo hicho chenye ujazo wa lita laki na nusu, ujazaji wa maji, ufungaji wa transfoma pamoja na ujenzi wa chumba cha kuendesha pump umekamilika na unatarajia kuunganishwa na nishati ya umeme hivi karibuni.

Previous articleJUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA (TEF) WAMLILIA MZEE MWINYI
Next articleDkt. NCHIMBI AKATISHA ZIARA YAKE NCHINI INDIA, KUSHIRIKI MAZISHI YA MZEE MWINYI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here