Home LOCAL Dkt. NCHIMBI AKATISHA ZIARA YAKE NCHINI INDIA, KUSHIRIKI MAZISHI YA MZEE MWINYI

Dkt. NCHIMBI AKATISHA ZIARA YAKE NCHINI INDIA, KUSHIRIKI MAZISHI YA MZEE MWINYI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akisalimiana na Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally, walipokutana Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Abeid Amani Karume. Dk. Nchimbi amewasili Zanzibar leo Jumamosi, Machi 2, 2024, akitokea nchini India, ambako amelazimika kukatisha ziara yake ya kikazi, kushiriki msiba wa Mwenyekiti wa CCM Mstaafu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu wa Awamu ya Pili, Hayati Alhaj Ali Hassan Mwinyi.

Previous articleUJENZI WA KITUO CHA KUSUKUMA MAJI BONYOKWA, KAZI IMEKAMILIKA
Next articleRAIS SAMIA AONGOZA VIONGOZI NA WANANCHI WA ZANZIBAR  KUAGA MWILI WA RAIS MSTAAFU MZEE ALI HASSAN MWINYI UWANJA WA AMANI ZANZIBAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here