Home SPORTS SIMBA SC YAPIGWA KWA MKAPA

SIMBA SC YAPIGWA KWA MKAPA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

KLABU ya Simba imeshindwa kutamba kwenye uwanja wake wa nyumbani mara baada ya kukubali kupokea kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Al Ahly.

Katika mchezo huo wa mkondo wa kwanza Al Ahly walifanikiwa kupata bao la Mapema kupitia kwa Ahmed Kouka dakika ya 4 ya mchezo kipindi cha kwanza.

Timu hizo zitarudiana Aprili 5, 2024 ambapo Al Ahly kwenye mchezo huo atakuwa nyumbani mjini Cairo