Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisikiliza Swali kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje, Wakati alipokuwa akijibu maswali ya Papo kwa Papo Bungeni jijini Dodoma, Februari 8, 2024. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange Bungeni Jijini Dodoma, Februari 8, 2024 ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)