Home SPORTS WAFANYAKAZI WA BARRICK BULYANHULU NA NORTH MARA WALIVYOSHIRIKI KILIMANJARO MARATHON 2024

WAFANYAKAZI WA BARRICK BULYANHULU NA NORTH MARA WALIVYOSHIRIKI KILIMANJARO MARATHON 2024

[2/28, 1:28 PM] Malunde com:

Wakimbiaji kutoka kampuni ya Barrick wakitimua mbio wakati wa mashindano hayo.
 
***
Wafanyakazi wa Migodi ya Barrick ya Bulyanhulu na North Mara ambao wamekuwa mahiri kushiriki katika mashindano ya aina mbalimbali kupitia klabu zao za michezo zijulikanazo kama wameshiriki mbio za Kimataifa za Kilimanjaro 2024 zilizofanyika mkoani Kilimanjaro ambapo baadhi yao wamemudu kukimbia mbio za masafa marefu.
 
Kampuni ya Barrick inayo sera madhubuti katika kusaidia wafanyakazi kwenye upande wa michezo kwa kuwa na miundo mbinu ya mazoezi kama gym, swimming pool, viwanja vya mpira wa miguu , viwanja wa mpira wa kikapu pamoja na viwanja vya mpira wa pete. Vilevile kampuni imekuwa inatoa vifaa na nyenzo mbalimbali za kufanyia mazoezi, na kugharamia wafanyakazi wake kushiriki mashindano yanayofanyika nje ya migodi yake ikiwemo nje ya nchi.
 
Kampuni pia kupitia kitengo cha Afya na Usalama huwa inaandaa mashindano ya ndani kwa kushindanisha idara mbali mbali hii ni kama njia moja wapo ya kuweza kuweka vizuri afya za mwili na akili za wafanyakazi wawapo kazini. Mgodi wa Bulyanhulu pia umekuwa ukiandaa mashindano ya riadha yajulikanayo kama Bulyanhulu Healthy Lifestyle Marathon ambayo yamekuwa yakishirikisha wafanyakazi na wanariadha kutoka nje ya Mgodi.
Wakimbiaji kutoka kampuni ya Barrick wakitimua mbio wakati wa mashindano hayo.
Baadhi ya wakimbiaji kutoka kampuni ya Barrick wakifurahi na baada ya kumaliza mbio za Marathon za Kilimanjaro

Baadhi ya wakimbiaji kutoka kampuni ya Barrick wakifurahi na baada ya kumaliza mbio za Marathon za Kilimanjaro.
Previous articlePATA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO FEBRUARI 28-2024
Next articleTMDA YAPIGA MARUFUKU DAWA YA MACHO YA ‘XSONE N’
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here