Home BUSINESS UDOM YASHIRIKI KIKAO KAZI CHA NNE CHA SERIKALI MTANDAO EGA

UDOM YASHIRIKI KIKAO KAZI CHA NNE CHA SERIKALI MTANDAO EGA

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko, Bi. Rose Joseph, akitoa Maelezo kuhusu ushiriki wa Chuo Kikuu cha Dodoma, kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene.

Na.Mwandishi Wetu-ARUSHA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene,ametembelea Banda la Chuo Kikuu cha Dodoma, wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Nne (4) cha Serikali Mtandao eGA, kilichoanza leo mkoani Arusha.

Mhe. Simbachawene, amepongeza Chuo Kikuu cha Dodoma kwa kushirikj, pamoja na ubunifu mzuri wa Wanafunzi kutoka Ndaki ya Sayansi za Komputa na Elimu Angavu(CIVE).

Chuo Kikuu cha Dodoma ni miongoni mwa wadhamini wa Mkutano wa Nne wa Serikali Mtandao, unaokutanisha Wakuu wa Taasisi, Maafisa TEHAMA, Wakurugenzi wa Mipango, Utawala, na Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano Serikalini. Kikao hicho kimeanza leo Jumanne tarehe 06 Februari na kinategemewa kumalizika Ijumaa tarehe 08 Gebruari 2024.

Ā Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene, akisaini kitabu cha wageni alipowasili kwenye Banda la Chuo Kikuu cha Dodoma- Arusha.Ā 

Ā Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko, Bi. Rose Joseph, akitoa Maelezo kuhusu ushiriki wa Chuo Kikuu cha Dodoma, kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene.

Ā Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene, akifurahia jambo na Watumishi wa UDOM hawako pichani. Pembeni ya Waziri ni mwakilishi wa Bodi ya e-GA, Dr. Jasmine Sekwa

Ā Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene, alipokea Maelezo ya Bunifu za wanafunzi wa Ndaki ya Sayansi za Komputa na Elimu Angavu, walioshiriki kwenye maonesho yanayoendelea wakati wa kikao cha Nne cha Serikali Mtandao e-GA.

Previous articleFTI NI CHUO BORA DUNIANIā€ WAZIRI KAIRUKI
Next articleSERIKALI YATUMIA BILIONI 346.4 KWA MWAKA KUTIBU WAGONJWA WA KISUKARI NA TEZI DUME
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here