Home LOCAL RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA UJUMBE WA KANISA LA KILUTHERI...

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA UJUMBE WA KANISA LA KILUTHERI AFRIKA MASHARIKI (KKAM) IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Uongozi wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki, ukiongozwa na Makamu Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) Askofu Dkt.Philemon Langas Mollel (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2024.(Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki ukiongozwa na Makamu Askofu Mkuu wa wa Kanisa hilo Askofu Dkt.Philemon Langas Mollel (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2024.(Picha na Ikulu).

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here