Home SPORTS NIGERIA YATINGA FAINALI AFCON

NIGERIA YATINGA FAINALI AFCON

Timu ya Taifa ya Nigeria imefuzu kucheza fainali ya kombe la Shirikisho baada ya kuifunga Timu ya Afrika Kusini kwa mikwaju ya penati. 4-3.

Hatua hiyo ilifuatia baada ya kumalizika kwa dakika 90 timu hizo zikiwa sare ya bao 1-1, yote yakipatikana katika kipindi cha 2 cha mchezo huo, ambapo waliingia hatua ya dakika 30.

Nigeria sasa inasubiri mshindi wa mechi kati ya mwenyeji Ivory Coast na Congo DRC, ambapo fainali itapigwa Februari 13.

Previous articleTEKNOLOJIA YA KISASA KUDHIBITI WANYAMA WAKALI NA WAHARIBIFU
Next articleDKT. NCHEMBA AISHUKURU IMF KWA KUSAIDIA MAENDELEO YA NCHI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here