Home LOCAL NCHIMBI AMTAKIA HERI MIAKA 93 MAMA FATMA KARUME, WATETA MSIBANI KWA LOWASSA

NCHIMBI AMTAKIA HERI MIAKA 93 MAMA FATMA KARUME, WATETA MSIBANI KWA LOWASSA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi akiteta jambo na kumsikiliza kwa makini Bi. Fatma Gullam Hussein Jamal (Mama Fatma Karume), ambaye ni Mama Mzazi wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Amani Abeid Karume (kulia), pia Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Amani Karume, walipokutana msibani kwa Hayati Edward Ngoyai Lowassa, Ngurash, Monduli, Jumamosi, Februari 17, 2024. Dkt. Nchimbi pia alitumia nafasi hiyo kumpongeza Mama Fatma Karume kwa kutimiza miaka 93 ya kuzaliwa hivi karibuni na kumtakia heri, fanaka na maisha marefu zaidi.

Previous articleTUMUENZI HAYATI LOWASSA KWA VITENDO – RAIS SAMIA
Next articleSERIKALI INATHAMINI MCHANGO WA SEKTA BINAFSI-MAJALIWA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here