Home LOCAL KATIBU MKUU WA CCM AWAJULIA HALI VIONGOZI MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM

KATIBU MKUU WA CCM AWAJULIA HALI VIONGOZI MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali Ndugu Loth Lazaro Olemeirut, Katibu wa CCM wa Wilaya ya Rorya, mkoani Mara, leo Jumamosi, Februari 3, 2024, ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili – Mloganzila, jijini Dar Es Salaam, kwa ajili ya matibabu. Kushoto ni Daktari Bingwa, Elineema Meda.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali Ndugu Peter Niboye, ambaye ni Kada wa CCM, anayeendelea ahueni akiwa nyumbani, jijini Dar Es Salaam, baada ya kutoka hospitali alikokuwa amelazwa hapo awali kwa ajili ya matibabu. Kushoto ni baba mzazi wa Peter, Mzee Josephat Niboye.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali Ndugu Peter Niboye, ambaye ni Kada wa CCM, anayeendelea kupata ahueni akiwa nyumbani, jijini Dar Es Salaam, baada ya kutoka hospitali alikokuwa amelazwa hapo awali kwa ajili ya matibabu. Kushoto ni baba mzazi wa Peter, Mzee Josephat Niboye na kulia ni Bi. Edith Niboye, mama mzazi wa kada huyo.

Previous articleMH. ZENA SAID: COSTECH KUWENI NA MAKONGAMANO YA WABUNIFU
Next articleKAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA UTENDAJI WA MSD
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here