Home LOCAL RAIS SAMIA ATETA NA NAIBU WAZIRI MKUU WA CHINA IKULU DAR ES...

RAIS SAMIA ATETA NA NAIBU WAZIRI MKUU WA CHINA IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Liu Guozhong mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam.

  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Liu Guozhong mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Liu Guozhong, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Liu Guozhong na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam

Previous articleMIGODI YA BARRICK TANZANIA KATIKA MWELEKEO WA DARAJA LA KWANZA,IKIWA NA UWEZO WA KUONGEZA UHAI, KUKUZA ZAIDI UZALISHAJI
Next articleDkt. KIDA: SERIKALI IMEONDOA ONDOA TOZO ZAIDI YA 374 SEKTA YA UWEKEZAJI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Open chat
GREEN WAVES MEDIA
Ahsante kwa kutembeiea RAIS SAMIA ATETA NA NAIBU WAZIRI MKUU WA CHINA IKULU DAR ES SALAAM