Home LOCAL RAIS Dkt. SAMIA AWASILI NCHINI INDONESIA

RAIS Dkt. SAMIA AWASILI NCHINI INDONESIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, Tangerang kwa ajili ya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia tarehe 24 Januari, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, Tangerang kwa ajili ya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia tarehe 24 Januari, 2024.
Previous articleMAKAMU WA RAIS WA CUBA AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI
Next articleSAMIA AIMARISHA DEMOKRASIA NCHINI KWA KURUHUSU MAANDAMANO, ATAJWA KUWA MAMA WA DEMOKRASIA TANZANIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here