Home LOCAL RAIS DKT. SAMIA AFANYA UTEUZI MKURUGENZI MKUU NEMC

RAIS DKT. SAMIA AFANYA UTEUZI MKURUGENZI MKUU NEMC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Immaculate Sware Semesi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC).

Kabla ya uteuzi huu Dkt. Semesi alikuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Uhifadhi wa Bahari na Maeneo Tengefu na anachukua nafasi ya Dkt. Samuel Gwamaka Mafwenga ambaye amemaliza muda wake.

Uteuzi huu unaanza tarehe 05 Januari, 2024.

Zuhura Yunus

 Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu

Previous articleRAIS SAMIA AWAKOSHA SINGIDA
Next articleMCHANGANYIKO SERIKALI KUBORESHA MAKTABA 22 NCHINI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here