Home LOCAL PROF. MWEGOHA APATA UTEUZI WA MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU MZUMBE 

PROF. MWEGOHA APATA UTEUZI WA MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU MZUMBE 

Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Dkt. Ali Mohamed Shein, kwa Mamlaka  aliyonayo chini ya Kifungu cha 12 (1) cha Hati Idhini ya Chuo Kikuu  Mzumbe ya Mwaka 2007 kikisomwa sambamba na Kanuni ya 5 (1) ya  Jedwali la kwanza la Hati Idhini ya Chuo Kikuu Mzumbe ya mwaka  2007, amemteua Prof. William Senkondo Mwegoha kuwa Makamu  Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe kwa kipindi cha Miaka mitano (5) kuanzia  tarehe 8 Januari, 2024. 

Kabla ya uteuzi huu Prof. William Senkondo Mwegoha alikuwa akikaimu  nafasi hiyo. 

Tunampongeza na kumtakia kila la kheri katika kutekeleza majukumu  yake. 

Imetolewa na:

Lulu Phillip Mussa 

KAIMU MKUU WA KITENGO CHA MAWASILIANO NA MASOKO 

Previous articleDKT. ASHATU KIJAJI- UJENZI WA VIWANDA VYA KUTOSHA UTAPUNGUZA CHANGAMOTO YA AJIRA KWA VIJANA NCHINI
Next articleSOMA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JANUARI 10-2024
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Open chat
GREEN WAVES MEDIA
Ahsante kwa kutembeiea PROF. MWEGOHA APATA UTEUZI WA MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU MZUMBE