Home SPORTS NIGERIA 1-1 EQUATORIAL GUINEA AFCON

NIGERIA 1-1 EQUATORIAL GUINEA AFCON

Timu ya Taifa ya Nigeria imetoshana nguvu na timu ya Taifa ya Iquatorial Guinea kwa bao 1-1 katika mchezo wa pili wa michuano ya AFCON nchini Ivory Coast.

Mtanange huo umepigwa katika Dimba la Olimpique Allassam Jijini Abijan nchini humo.

Iquatorial Guinea ndio ilikuwa timu ya kwanza kuliona lango la Nigeria likipachikwa kambani na kiungo mshambuliaji Ivan Edu Katika dakika ya 36 ya mchezo huo.

Ilichukua dakika 2 tu kwa Super Eagles kupata bao la kusawazisha ambapo mshambuliaji wa timu hiyo Victor Osimhen kupachika bao hilo kwa kichwa akiunganisha krosi ya mshambuliaji wake wa kushoto.

Previous articleWANANCHI SONGEA WAJITOKEZA KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MENEJA WA TANROADS MKOA WA RUVUMA
Next articleCAPE VERDE YAIDUWAZA GHANA, YAICHAPA 2-1
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here