Home LOCAL MWENYEKITI WA CCM NA RAIS NDG.SAMIA AFANYA ZIARA YA KICHAMA KUKAGUA MIRADI...

MWENYEKITI WA CCM NA RAIS NDG.SAMIA AFANYA ZIARA YA KICHAMA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI KASKAZINI UNGUJA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akitembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kaskazini Unguja tarehe 17 Januari, 2024.

   

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiweka Jiwe la Ufunguzi wa Tawi la CCM Chaani Masingini Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati alipokuwa kwenye ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Chama cha Mapinduz

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuashiria  Ufunguzi wa Jengo la Chuo cha Wajasiriamali Wanawake (UWT) Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati alipokuwa kwenye ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 17 Januari, 2024.

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wanachama wa  Chama cha Mapinduzi (CCM) na Wananchi wa Chaani mara baada ya kuweka Jiwe la Ufunguzi wa Tawi la Chama cha Mapinduzi (CCM) Chaani Masingini Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati alipokuwa kwenye ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 17 Januari, 2024.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wanachama wa  Chama cha Mapinduzi (CCM) na Wananchi wa Mahonda mara baada ya kufungua Jengo la Chuo cha Wajasiriamali Wanawake (UWT) Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati alipokuwa kwenye ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 17 Januari, 2024.

Previous articleSERA ZA UCHUMI ZA RAIS SAMIA ZALETA MATUNDA MAKUBWA NCHINI
Next articleTEF YAWAFARIJI WAATHIRIKA WA MAFURIKO KILOSA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here