Home LOCAL KATIBU MKUU MPYA WA CCM DKT EMMANUEL NCHIMBI APOKELEWA KWA SHANGWE NA...

KATIBU MKUU MPYA WA CCM DKT EMMANUEL NCHIMBI APOKELEWA KWA SHANGWE NA MAMIA YA WANA- CCM MKOA WA DAR ES SALAAM

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt. Emmanuel John Nchimbi akilakiwa na Viongozi na wanachama wa CCM Mkoa wa Dar Es Salaam alipowasili katika Viwanja Vya Mnazi Mmoja kuzungumza na Wanachama wa CCM Mkoani humo.
   
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt. Emmanuel John Nchimbi, Akihutubia wana-CCM wa Dar es salaam baada ya kupokelewa kwa nderemo na vifijo katika Viwanja Vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar Es Salaam Leo Januari 20, 2024.( Picha na Fahadi Siraji wa CCM).
 
Wanachama na Viongozi waliowasili Kumlaki Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt. Emmanuel John Nchimbi wakifuatilia Mkutano.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg. Anamringi Macha katika Viwanja Vya Mnazi Mmoja kuzungumza na Wanachama wa CCM Mkoani humo.
Previous articleNAM IENDELEZE USHIRIKIANO KATIKA MASUALA YA ULINZI-MAJALIWA
Next articleBASHE ATAJA SABABU UPUNGUFU WA SUKARI, TANI 100,000 ZAAGIZWA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Open chat
GREEN WAVES MEDIA
Ahsante kwa kutembeiea KATIBU MKUU MPYA WA CCM DKT EMMANUEL NCHIMBI APOKELEWA KWA SHANGWE NA MAMIA YA WANA- CCM MKOA WA DAR ES SALAAM