Home LOCAL WAZIRI TABIA AWEKA JIWE LA MSINGI UKUMBI WA KUFANYIA MITIHANI BAMBI SKULI...

WAZIRI TABIA AWEKA JIWE LA MSINGI UKUMBI WA KUFANYIA MITIHANI BAMBI SKULI WILAYA YA KATI UNGUJA.

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita kulia akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi Ukumbi wa kufanyia Mitihani Bambi Skuli Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akipatiwa Maelezo na Mhandisi kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Khamis Yussuf  Bakari kuhusiana na Ukumbi wa kufanyia Mitihani katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Ukumbi huko Bambi Skuli  Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji TASAF Makao Makuu Shadrak Mzirai akitoa salamu na Maelezo ya Mradi katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Ukumbi wa kufanyia Mitihani  Bambi Skuli  Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Katibu  Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Dk Islamu Seif Salum akitoa taarifa ya kitaalamu katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Ukumbi wa kufanyia Mitihani  Bambi Skuli  Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akitoa Hotuba katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Ukumbi wa kufanyia Mitihani  Bambi Skuli  Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here