Home LOCAL WAZIRI MKUU ASHIRIKI TAMASHA LA BIBI TITI MOHAMMED 2023

WAZIRI MKUU ASHIRIKI TAMASHA LA BIBI TITI MOHAMMED 2023

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Elice Paulo  wakati alipotembelea banda la maonesho la Kikundi cha Maendeleo Yetu katika Tamasha la Bibi Titi Mohammed , 2023 lililofanyika kwenye Uwanja wa Ujamaa , Ikwiriri Rufij mkoani Pwani, Disemba 3, 2023. Wa pili kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, na Mbunge wa Rufiji, Mohammed Mchengerwa  na wa tatu kulia ni Naibu Katibu Mkuu OR – TAMISEMI (Elimu), Dkt. Charles Msonde. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Ramadhani Waziri, wakati alipotembelea banda la maonesho la umoja wa watengeneza samani  katika Tamasha la Bibi Titi Mohammed , 2023 lililofanyika kwenye Uwanja wa Ujamaa , Ikwiriri Rufiji Mkoa wa Pwani, Disemba 3, 2023. Wa pili kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI na Mbunge wa Rufiji, Mohammed Mchengerwa  na wa tatu kushoto ni Naibu Katibu Mkuu OR – TAMISEMI (Elimu), Dkt. Charles Msonde. 
Mkuu wa Mkoa wa Pwani , Abubakar Kunenge akionesha ufunguo wa gari baada ya kukabidhiwa gari na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa ajili ya usimamizi na ufuatiliaji wa shughuli za Afya kwenye Secretarieti ya Mkoa huo  katika Tamasha la Bibi Titi Mohammed , 2023 lililofanyika kwenye Uwanja wa Ujamaa , Ikwiriri Rufiji mkoa wa Pwani, Disemba 3, 2023. Wa pili kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Nchengerwa . 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ufunguo wa gari Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge wakati alipokabidhi magari  22 kwa ajili ya  ufuatiliaji wa shughuli za Afya kwenye Secretarieti za Mikoa na Halmashauuri za Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara. Makabidhiano hayo yalifanyika katika Tamasha la Bibi Titi Mohammed , 2023 lililofanyika kwenye Uwanja wa Ujamaa , Ikwiriri Rufiji mkoa wa Lindi , Disemba 3, 2023. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI na Mbunge wa Rufiji, Mohammed Nchengerwa . 
  • Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ufunguo wa gari Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack wakati alipokabidhi magari  22 kwa ajili ya  ufuatiliaji wa shughuli za Afya kwenye Secretarieti za Mikoa na Halmashauuriza Mikoa ya Pwani, Lindi na  Mtwara. Makabidhiano hayo yalifanyika katika Tamasha la Bibi Titi Mohammed , 2023 lililofanyika kwenye Uwanja wa Ujamaa , Ikwiriri Rufiji, Disemba 3, 2023. 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here