Home SPORTS SIMBA SC YAFUFUA MATUMAINI ROBO FAINALI CAF

SIMBA SC YAFUFUA MATUMAINI ROBO FAINALI CAF

SIMBA SC imeweka Matumaini ya kutinga hatua ya Robo Fainali ya Michuano ya Klabu Bingwa Afrika baada ya kuichapa mabao 2_0 Wydad Casablanca  mchezo wa kundi B  uliopigwa  Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.
Mabao ya Simba SC yamefungwa na Willy Onana dakika  ya 36 na 38 hadi mapumziko Simba walienda wakiwa kifua mbele.
Kwa matokeo hayo Simba SC wamefikisha jumla ya  na pointi tano na kupanda hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi ikisaliwa na michezo miwili dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast ugenini Februari 23,2024 na Jwaneng Galaxy ya Botswana Machi 1,2024.
ASEC Mimosas akiwa anaongoza msimamo akiwa na Pointi saba atashuka uwanjani kucheza na Jwaneng Galaxy ya Botswana.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here