Home LOCAL RAIS DKT. MWINYI AFUNGUA VIWANJA VYA MICHEZO VYA MATUMBAKU SPOTRS COMPLEX MIEMBENI...

RAIS DKT. MWINYI AFUNGUA VIWANJA VYA MICHEZO VYA MATUMBAKU SPOTRS COMPLEX MIEMBENI WILAYA YA MJINI UNGUJA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kufungua Viwanja vya michezo vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 30-12-2023, ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)

WAFANYAKAZI wa Mfuko wa Hifadh ya Jamii Zanzibar (ZSSF) wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Viwanja vya Matumbaku Spotrs Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua uwanja huo leo 30-12-2023 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAGENI waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa viwanja vya michezo vya Matumbaku Spotrs Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua uwanja huo leo 30-12-2023 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hafla ya ufunguzi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, wakati wa ufunguzi huo uliofanyika leo 30-12-2023, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)

VIJANA wa Sarakasi wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar wakionesha umahiri wa mchezo huo wakati wa hafla ya ufunguzi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Previous articleMATEMBEZI KUADHIMISHA MIAKA 60 YA MAPINDUZI ZANZIBAR
Next articleSOMA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI DISEMBA 31-2023
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Open chat
GREEN WAVES MEDIA
Ahsante kwa kutembeiea RAIS DKT. MWINYI AFUNGUA VIWANJA VYA MICHEZO VYA MATUMBAKU SPOTRS COMPLEX MIEMBENI WILAYA YA MJINI UNGUJA