Home LOCAL OFISI YA MSAJILI WA HAZINA YAMKABIDHI RAIS SAMIA  BILIONI 2 KUSAIDIA WAATHIRIKA...

OFISI YA MSAJILI WA HAZINA YAMKABIDHI RAIS SAMIA  BILIONI 2 KUSAIDIA WAATHIRIKA WA MAFURIKO HANANG

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa Hundi ya Shilingi Bilioni mbili kutoka kwa Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu kwa ajili ya Maafa ya maporomoko ya ardhi yaliyotokea katika Mji mdogo wa Katesh, Hanang Mkoani Manyara hivi karibuni. Hundi hiyo ni michango iliyochangwa na Taasisi mbalimbali za Serikali na kuwasilishwa Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023 mara baada ya kupokea hundi ya michango kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali kwa ajili ya Maafa ya maporomoko ya ardhi yaliyotokea katika Mji mdogo wa Katesh, Hanang Mkoani Manyara hivi karibuni.

Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango akizungumza kwenye hafla ya upokeaji wa hundi ya michango ya Maafa ya mafuriko, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.

Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango akiondoka Ikulu mara baada ya hafla fupi ya kupokea Hundi ya michango kutoka Taasisi mbalimbali kwa ajili ya Maafa ya maporomoko ya ardhi yaliyotokea Katesh, Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.

  Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla fupi ya upokeaji Hundi ya michango kutoka Taasisi mbalimbali kwa ajili ya Maafa ya maporomoko ya ardhi yaliyotokea Katesh, Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.

Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango akifurahia jambo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya hafla fupi ya kupokea Hundi ya michango kutoka Taasisi mbalimbali kwa ajili ya Maafa ya maporomoko ya ardhi yaliyotokea Katesh, Ikulu Jijini Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama mara baada ya hafla fupi ya kupokea Hundi ya michango kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali kwa ajili ya Maafa yaliyotokea Katesh, Ikulu Jijini Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu pamoja na Wakuu wa Taasisi mbalimbali za Serikali, Ikulu Chamwino Mkaoni Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here