Home BUSINESS BOSI MPYA TANZANIA COMMERCIAL BANK ATAMBULISHWA RASMI

BOSI MPYA TANZANIA COMMERCIAL BANK ATAMBULISHWA RASMI

Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya Biashara Tanzania TCB, Bwana Adam Mihayo (kulia), akizunguza mara baada ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa benki hiyo Dkt. Edmund Mndolwa (kulia kwake), kumtambulisha rasmi jijini Dar es Salaam leo. 

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB) Dkt. Edmund Mdondolwa (kushoto), akizungumza wakati wa hafla ya kumtambulisha Mkurugenzi mpya wa Benki hiyo Bw. Adam Mihayo ambe aliteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Tarehe 19 Novemba 2023 awengine pichani ni Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya Biashara Tanzania TCB, Bwana Adam Mihayo pamoja na maofisa wengine wa benki hiyo.

Previous articleRAIS SAMIA: SERIKALI KUGHARAMIA MAZISHI YA WALIOKUFA NA MAFURIKO HANANG
Next articleWAZIRI MKUU AWASILI KATESH, ATOA POLE, AENDA KUKAGUA ENEO LA TUKIO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here