Home BUSINESS ADAM MIHAYO ATAMBULISHWA RASMI KUANZA MAJUKUMU YAKE  TCB

ADAM MIHAYO ATAMBULISHWA RASMI KUANZA MAJUKUMU YAKE  TCB

 Afisa Mtendaji Mkuu mpya wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Adam Mihayo (kushoto), akipata maelezo kutoka Kwa Mkurugenzi wa Mipango ya Benki hiyo Bw. Muondakweli Kaniki alipofika kuripoti rasmi nafasi ya kuongoza Benki hiyo baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa TCB mwengine pichani ni Mkurugenzi Rasilimali Watu Wa Benki hiyo Bi. Diana Myonga. Hafla hiyo imefanyiaka hivi karibuni makao makuu ya TCB jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu mpya wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Adam Mihayo (kushoto), akisalimiana na Mkurugenzi wa Mipango ya Benki hiyo Bw. Muondakweli Kaniki alipofika kuripoti rasmi nafasi ya kuongoza Benki hiyo baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa TCB wengine pichani ni Mkurugenzi Rasilimali Watu Wa Benki hiyo Bi. Diana Myonga, Mkurugenzi Wa Uendeshaji Karoli Shayo, Mkurugenzi Wa Sheria huyo ni Bi. Mystica Ngongi. Hafla hiyo imefanyiaka hivi karibuni makao makuu ya TCB jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu mpya wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Adam Mihayo (kushoto), akisalimiana na Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa Benki hiyo Bi.Diana Myonga wakati alipokwenda kuripoti kushika nafasi ya kuongoza Benki hiyo wengine pichani ni maafisa wa TCB.
Afisa Mtendaji Mkuu mpya wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Adam Mihayo akipokea maua ikiwa ni ishara ya upendo kutoka kwa maafisa wa benki hiyo alipofika kuripoti rasmi nafasi ya kuongoza Benki hiyo baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa TCB.
Previous articleRAIS SAMIA AKUTANA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MICHAEL BLOOMBERG ,KANDO YA MKUTANO WA COP28, DUBAI, UAE
Next articleKAMPUNI YA ORYX GAS YAWAWEZESHA MAMA LISHE NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here