Home BUSINESS WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA BoT MAONESHO YA TAASISI ZA FEDHA ARUSHA

WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA BoT MAONESHO YA TAASISI ZA FEDHA ARUSHA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akipokea zawadi kutpka kwa Naibu Gavana Usimamizi na Uthabiti wa Sekta ya Fedha Benki Kuu ya Tanzania Bi Sauda Kassim Msemo mara baada ya kutembelea banda la benki hiyo katika maonesho ya wiki ya taasisi za Kifedha yanayofanyika kwenye uwanja wa Sheikh Abri Abeid jijini Arusha.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa  Naibu Gavana Usimamizi na Uthabiti wa Sekta ya Fedha Benki Kuu ya Tanzania Bi Sauda Kassim Msemo wakati alipotembelea banda la benki hiyo katika maonesho ya wiki ya taasisi za Kifedha yanayofanyika kwenye uwanja wa Sheikh Abri Abeid jijini Arusha.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa  Menejaà msaidizi wa Mawasiliano, Benki kuu ya Tanzania BoT Noves Mosses  wakati alipotembelea katika banda la benki hiyo kwenye maonesho ya wiki ya taasisi za Kifedha yanayofanyika kwenye uwanja wa Sheikh Abri Abeid jijini Arusha.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Meneja msaidizi wa Mawasiliano, Benki kuu ya Tanzania BoT Noves Mosses  wakati alipotembelea katika banda la benki hiyo kwenye maonesho ya wiki ya taasisi za Kifedha yanayofanyika kwenye uwanja wa She

Previous articleMAJALIWA: HALMASHAURI WEKENI MIFUMO YA KURATIBU WANUFAIKA WA TASAF NA VIKUNDI VYA WAJASIRIAMALI
Next articleWAZIRI MKUU AAGIZA WANANCHI WAHAMASISHWE KUTUMIA HUDUMA RASMI ZA FEDHA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here