Home BUSINESS WANANCHI WAKITOKEZA KUPATA ELIMU BANDA LA BRELA ARUSHA

WANANCHI WAKITOKEZA KUPATA ELIMU BANDA LA BRELA ARUSHA

Afisa wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA), Bw. Farid Hoza(aliyeketi), akitoa elimu na huduma kwa wadau waliotembelea banda la BRELA, leo tarehe 24 Novemba, 2023 kwenye Maonesho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yanayofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. BRELA inatoa huduma ya papo kwa papo karibu tukuhudumie.

Previous articleJAJI MOHAMED CHANDE AMEWATAKA WAHITIMU KUTUMIA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA KUWA FURSA
Next articleMWENYEKITI SIDE AWATAKA ILALA KUJENGA UMOJA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here