Home BUSINESS WANANCHI WAKITOKEZA KUPATA ELIMU BANDA LA BRELA ARUSHA

WANANCHI WAKITOKEZA KUPATA ELIMU BANDA LA BRELA ARUSHA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Afisa wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA), Bw. Farid Hoza(aliyeketi), akitoa elimu na huduma kwa wadau waliotembelea banda la BRELA, leo tarehe 24 Novemba, 2023 kwenye Maonesho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yanayofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. BRELA inatoa huduma ya papo kwa papo karibu tukuhudumie.