NHC
Home LOCAL MWENYEKITI CCM RAIS SAMIA AKIONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU CCM TAIFA IKULU...

MWENYEKITI CCM RAIS SAMIA AKIONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU CCM TAIFA IKULU DAR ES SALAAM

   

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 29 Novemba, 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam, Awali kikao hicho kilitanguliwa na kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
Open chat
GREEN WAVES MEDIA
Ahsante kwa kutembeiea MWENYEKITI CCM RAIS SAMIA AKIONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU CCM TAIFA IKULU DAR ES SALAAM