Home LOCAL MAJALIWA AZINDUA MRADI WA REA WILAYANI MBOZI

MAJALIWA AZINDUA MRADI WA REA WILAYANI MBOZI

Katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Songwe, Leo Novemba 24, 2023, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua mradi wa usambazaji umeme vijijini na vitongojini, katika kijiji cha Ivugula kata ya Mahenje Wilaya ya Mbozi.

Mradi huo unaotekelezwa na wakala wa Umeme vijijini REA kwa thamani ya Shilingi Bilioni 5, unatarajiwa kusambaza umeme katika vitongoji 171 vya wilaya ya Mbozi, Ileje, Momba na Songwe.

Previous articleMWENYEKITI SIDE AWATAKA ILALA KUJENGA UMOJA
Next articleSOMA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI NOVEMBA 25-2025
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here