Home LOCAL KINANA AZUNGUMZA NA BALOZI WA MSUMBIJI NA INDIA NCHINI TANZANIA, LUMUMBA JIJINI...

KINANA AZUNGUMZA NA BALOZI WA MSUMBIJI NA INDIA NCHINI TANZANIA, LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM.

KINANA AZUNGUMZA NA BALOZI WA MSUMBIJI NA INDIA NCHINI TANZANIA, LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Makamu Mwenyekiti wa  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Abdurahman Kinana akiwa katika picha ya pamoja na  Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan leo Alhamis, Novemba 02 , 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es salaaam. (Picha na Fahadi Siraji)

Makamu Mwenyekiti wa  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Abdurahman Kinana akizungumza  na  Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan leo Alhamis, Novemba 02 , 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es salaaam. 

Makamu Mwenyekiti wa  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Abdurahman Kinana akiwa katika picha ya pamoja na  Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan leo Alhamis, Novemba 02 , 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es salaaam.

Makamu Mwenyekiti wa  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Abdurahman Kinana akizungumza  na  Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania Mhe. Ricardo Mrumbuida leo Alhamis, Novemba 02 , 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es salaaam