Home Uncategorized KAMPENI YA MAOKOTO NDANI YA KIZIBO YAZIDI KUNUFAISHA WATANZANIA

KAMPENI YA MAOKOTO NDANI YA KIZIBO YAZIDI KUNUFAISHA WATANZANIA

Kampeni ya Maokoto Ndani ya Kizibo Yazidi kunufaisha  Watanzania
Mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo mkazi wa Lamadi Peter Galos, akipokea mfano wa hundi ya Sh laki tano kutoka kwa Mkuzaji Masoko wa Serengeti Breweries mkoa wa Mara Feka Edward, kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika Pub ya New Diamond mjini Bunda mkoani Mara. 
Mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni mkazi wa Jet Lumo jijini Dar es Salaam Rehema Rashid, akipokea mfano wa hundi ya Shilingi laki tano kutoka kwa Mwakilishi wa Maendeleo ya Mauzo kutoka Serengeti Breweries Mkoa wa Dar es Salaam Jemima Simon Mtemi (kushoto) kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi iliyofanyika kwenye baa ya Sunset
Meneja wa kampuni ya bia ya Serengeti Breweries LTD (SBL) Mkoa wa Morogoro Stephen Sinka (kushoto) akiwa na Anita Kakole afisa mauzo kutoka kampunin ya SBL (kulia) wakimkabidhi hundi ya mfano ya TSh Laki Tano mshindi wa shindano la Maokoto ,Moreka Makwaya katika halfa iliofanyika bar ya La Viva Mkoni Morogoro
Moja wa washindi wa Maokoto Ndani ya Kizibo  Cecilia Mtei (kushoto), akitoa neno la shukrani baada ya kukabidhiwa hundi ya Shilingi laki 5 kutoka kwa mwakilishi wa Serengeti Breweries  eneo la Tabata Bi Rehema Shuma(kulia) wikiendi hii katika baa ya kitambaa Cheupe Tabata jijini Dar es Salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here