Home LOCAL COMRED CHONGOLO AKITETA JAMBO NA Dkt. NCHEMBA NA BASHUNGWA DODOMA

COMRED CHONGOLO AKITETA JAMBO NA Dkt. NCHEMBA NA BASHUNGWA DODOMA

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Godfrey Chongolo akizungumza jambo na Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa pamoja na Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Nchemba kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa Mashauriano kati ya Serikali na Makandarasi Wazawa, Washauri Waelekezi pamoja na wadau mbalimbali wa sekta ya ujenzi wa kujadili nafasi yao katika utekelezaji wa miradi na masuala yanayohusu sekta hiyo, uliofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, leo Jumanne Novemba 21, 2023 jijini Dodoma.

Previous articleUSCAF KUPELEKA MAWASILIANO KWA WANANCHI ZAIDI YA MILIONI 20 VINIJINI
Next articleMAGAZETI YA LEO NOVEMBA 22,2023
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here