Home BUSINESS BRELA YAPIGA KAMBI MAONESHO YA EXPO S!TE 2023 JIJINI DAR KUTOA HUDUMA...

BRELA YAPIGA KAMBI MAONESHO YA EXPO S!TE 2023 JIJINI DAR KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI

Maafisa wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), wakiwa tayari kutoa huduma katika Maonesho ya Swahili International Tourism Expo (SITE2023) kwenye ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Huduma zote za Usajili wa Kampuni, Majina ya Biashara, Alama za Biashara na Huduma pamoja na utoaji wa Leseni za Biashara kundi “A”, Utoaji wa Leseni za Viwanda na Utoaji wa Hataza zitatolewa papo kwa papo katika banda la BRELA kuanzia leo tarehe 6 hadi 8 Oktoba, 2023.

Previous articleHOSPITALI YA RUFAA MKOA WA SIMIYU KUANZA HUDUMA ZA KIBINGWA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO
Next articleGEITA GOLD FC MAMBO SAFI, BASI JIPYA LAWASILI 
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here