Home LOCAL WAZIRI MKUU MAJALIWA NA NAIBU WAKE WAKUTANA KWA MAZUNGUMZO DODOMA

WAZIRI MKUU MAJALIWA NA NAIBU WAKE WAKUTANA KWA MAZUNGUMZO DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Septemba 6, 2023 amezungumza na  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko katika kikao kazi kilichofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma.

Kikao kazi hicho pia kilihudhuriwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here