Home BUSINESS WAZIRI JAFO AUPONGEZA MGODI WA DHAHABU WA BUCKREEF KWA KUTUNZA MAZINGIRA

WAZIRI JAFO AUPONGEZA MGODI WA DHAHABU WA BUCKREEF KWA KUTUNZA MAZINGIRA

Waziri wa nchi Ofisi ya  Makamu wa Rais  Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo (Mwenye fulana ya Kijani), akiungana na wafanyakazi wa Mgodi wa kuchimba dhahabu wa BUCKREEF katika zoezi la upandaji miti lililofanyika leo Septemba 25,2023 katika viwanja vya EPZ _ Bomba mbili kunakofanyika Maonesho ya Teknolojia ya sita ya Sekta ya Madini yanayoendelea Mkoani Geita.

Waziri wa nchi Ofisi ya  Makamu wa Rais  Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo (wa tatu kushoto), akiwa pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale Grace Kingalame (wa pili kushoto), katika picha ya pamoja na watumishi wa Mgodi wa uchimbaji Dhahabu wa BUCKREEF mara baada ya kumalizika kwa zoezi la upandaji miti lililofanyika leo katika viwanja vya EPZ Bomba mbili, Mkoani Geita.

Waziri wa nchi Ofisi ya  Makamu wa Rais  Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo (wa tatu kushoto), akiagana na watumishi wa Mgodi wa uchimbaji Dhahabu wa BUCKREEF mara baada ya kumalizika kwa zoezi la upandaji miti lililofanyika leo katika viwanja vya EPZ Bomba mbili, Mkoani Geita. (wa pili kushoto), Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale Grace Kingalame.

(PICHA NA: HUGHES DUGILO)

Previous articleWAZIRI JAFO: BoT BEBENI AJENDA YA KUTUNZA MAZINGIRA
Next articleTABORA YATAJWA KUWA KINARA MAAMBUKIZI YA MARALIA NCHINI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here