Home BUSINESS WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI BANDA LA TPA KUPATA ELIMU MONESHO YA MADINI...

WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI BANDA LA TPA KUPATA ELIMU MONESHO YA MADINI GEITA

Watumishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania- TPA, wameendelea kutoa Elimu kwa Wananchi kuhusu Huduma zinazotolewa na TPA Katika Maonesho ya sita ya kimataifa ya Teknolojia ya Madini 2023, yanayoendelea katika Viwanja vya EPZ Bombambili Mkoani Geita.

Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye maonesho ya teknolojia ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya Bombambili mjini Geita wakisikiliza maelezo kutoka kwa mtaalam wa Mamlaka ya Bandari TPA alipokuwa Akitoa maelezo kuhusu shughuli za shirika hilo.

Previous articleTABORA YATAJWA KUWA KINARA MAAMBUKIZI YA MARALIA NCHINI
Next articleWCF YATOA ELIMU YA FIDIA KWA WAFANYAKAZI MAONESHO YA 6 YA TEKNOLOJIA YA MADINI GEITA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here