Home BUSINESS WANAFUNZI WA SEKONDARI YA NYANKUMBU WATEMBELEA BANDA LA STAMICO MAONESHO YA MADINI...

WANAFUNZI WA SEKONDARI YA NYANKUMBU WATEMBELEA BANDA LA STAMICO MAONESHO YA MADINI GEITA

 Wanafunzi wa Shule ya sekomdari ya Nyamkumbu mkoani Geita wakiwa katika picha ya pamoja kwenye banda la Shirika la Madini la Taifa STAMICO wakati walipotembelea katika banda hilo kwenye maonesho ya 6 ya  kimaifa ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika viwanja vya EPZ Bombambili mjini Geita, mkuu wa shule hiyo ya sekomdari Bi. Georgia Mugashe ni miongoni mwa wanachama wa kikundi cha Wanawake na Mama Samia cha mkoani Geita.

Wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari TPA wakipata maelezo kutoka kwa wafanyakazi wa Shirika la Madini la Taifa STAMICO wakati walipotembelea katika banda hilo kwenye maonesho ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZ Bombambili mjini Geita 

Baadhi ya wananchi wakipata maelezo kwenye banda Shirika la Madini la STAMICO wakati walipotembelea banda hilo kwenye maonesho ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika Bombambili Mjini Geita. 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here