Home BUSINESS RAIS SAMIA AFANYA UKAGUZI WA MABORESHO YA UWANJA WA NDEGE MTWARA

RAIS SAMIA AFANYA UKAGUZI WA MABORESHO YA UWANJA WA NDEGE MTWARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bw. Hamza Johari wakati akiwasili uwanja wa ndege wa Mtwara alipofika kufanya ukaguzi wa maboresho yanayofanyika uwanjani hapo.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea maelezo juu ya  maboresho yanayofanyika uwanja wa ndege wa Mtwara alipofika kufanya ukaguzi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here