Home LOCAL RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA ZIARA WILAYA YA RUANGWA

RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA ZIARA WILAYA YA RUANGWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Kilimahewa uliopo Ruangwa Mjini kabla ya kuwahutubia wananchi ikiwa ni muendelezo wa Ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 18 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan jiwe la msingi ujenzi wa Halmashauri ya Mtama na kusalimia wananchi wa Mtama leo tarehe 18 Septemba, 2023.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wengine katika Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kilimahewa Ruangwa Mkoani Lindi tarehe 18 Septemba, 2023.
Akina Mama wa Kabila la Wamwera wakiwa wamelala chini kama ishara ya Heshima kubwa ya mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Kilimahewa Ruangwa Mkoani Lindi tarehe 18 Septemba, 2023.
Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Lindi Mhe. Teckla Ungele akicheza pamoja na Akina Mama wa Kabila wa Wamwera wakati wa shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ruangwa Mkoani Lindi tarehe 18 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kilimahewa, Ruangwa Mkoani Lindi ikiwa ni muendelezo wa Ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 18 Septemba, 2023.    

Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Kilimahewa Ruangwa Mkoani Lindi ikiwa ni muendelezo wa Ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 18 Septemba, 2023.

Previous articleBENKI YA NMB YAENDESHA WARSHA YA SIKU YA WALIMU KAHAMA
Next articleORYX GAS, DORIS MOLLEL FOUNDATION WATOA ELIMU MATUMIZI YA GESI KWA JAMII YA KIMASAI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here