Home ENTERTAINMENTS RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFURAHIA TAMASHA LA KIZIMKAZI ZANZIBAR

RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFURAHIA TAMASHA LA KIZIMKAZI ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo wakati kikundi cha ngoma za asili cha Shomoo kilipokuwa kikitoa burudani katika kilele cha Tamasha la Kizimkazi lililofanyika Paje Zanzibar tarehe 31 Agosti, 2023.
  

Kikundi cha Ngoma za Asili cha Shomoo kutoka Kizimkazi kikitoa burudani wakati wa kilele cha Tamasha la Kizimkazi lililofanyika Paje Zanzibar tarehe 31 Agosti, 2023.

   Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakipita kwa Maandamano mbele ya Jukwaa Kuu katika kilele cha Tamasha la Kizimkazi lililofanyika Paje Zanzibar tarehe 31 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Viongozi wengine wakati wakiangalia ngoma ya Asili ya Shomoo katika kilele cha Tamasha la Kizimkazi lililofanyika Paje Zanzibar tarehe 31 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye viwanja vya Paje kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi lililofanyika Zanzibar tarehe 31 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Viongozi pamoja na Wananchi kutoka sehemu mbalimbali nchini wakati wa Kilele cha Tamasha la Kizimkazi lililofanyika Paje, Zanzibar tarehe 31 Agosti, 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here