Home LOCAL RAIS DKT. SAMIA AHITIMISHA ZIARA MIKOA WA KUSINI

RAIS DKT. SAMIA AHITIMISHA ZIARA MIKOA WA KUSINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Ikwiriri, Rufiji Mkoani Pwani mara baada ya kuhitimisha Ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 20 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya picha kutoka kwa Siti Mketo mara baada ya kuzungumza na Wananchi wa Somanga wakati akihitimisha Zara vake katika Mikoa va Kusini tarehe 20 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akinyanyua juu zawadi yake ya picha aliyopewa na Siti Mketo wakati akihitimisha Zara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 20 Septemba, 2023.

Watoto wa Shule a Msingi Somanga wakiwa na shauku va kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliposimama eneo hilo kuwasalimia Wananchi wakati akihitimisha Zara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 20 Septemba, 2023.

Wananchi wa Somanga wakiwa kwenye shamrashamra za kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati aliposimama eneo hilo kuwasalimia Wananchi wakati akihitimisha Zara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 20 Septemba, 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here