Home LOCAL RAIS DKT. SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA MAAFISA WAANDAMIZI WA...

RAIS DKT. SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI LA POLISI MAKAO MAKUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan pokea taariafa ya jeshi la Polisi kutoka kwa mkuu wa jeshi la polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura mara baada ya kuwasili kwenye Bwalo la Maafisa wa Polisi (Police Officer’s Mess) Oysterbay Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Septemba, 2023.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua kikosi cha gwaride mara baada ya kuwasili kwenye Bwalo la Maafisa wa Polisi (Police Officer’s Mess) Oysterbay Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Septemba, 2023.

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi wa Jeshi la Polisi mara baada ya kuwasili kwenye Bwalo la Maafisa wa Polisi (Police Officer’s Mess) Oysterbay Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Septemba, 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here