Home BUSINESS NAIBU WAZIRI MKUU DKT. BITEKO AIPONGEZA BoT KUANZA KUNUNUA DHAHABU

NAIBU WAZIRI MKUU DKT. BITEKO AIPONGEZA BoT KUANZA KUNUNUA DHAHABU

Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko, (kushoto), akizungumza katika Banda la Benki Kuu ya Tanzania (BoT), alipofanya ziara kwenye Banda la Benki hiyo kujionea shughuli wanazofanya, wakati wa ziara yake ya kukagua Mabanda katika Maonesho ya Teknolojia ya Sekta ya Madini yanayoendelea kwenye Viwanja vya EPZ- Bomba mbili, leo Septemba 23,2023 Mkoani Geita.

Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko, (kushoto), akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Mawasiliano Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bi. Victoria Msina (wa kwanza kulia), wakati wa Ziara ya Naibu Waziri Mkuu alipotembelea katika Banda la Benki hiyo, kwenye Maonesho ya Madini Mkoani Geita.

Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko, (kushoto) akimsikiliza Meneja Msaidizi, Upatikanaji na Usimamizi wa akiba ya Fedha za kigeni nchini, Dkt. Anna Lyimo (wa pili kulia), alipokuwa akielezea jinsi Benki hiyo ilivyowekeza katika sekta ya Madini kwa kuanza  kununua Dhahabu.

Previous articleGGML YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KUBORESHA AFYA GEITA
Next articleBRELA YAAGIZWA KUSHIRIKIANA KATIKA KUWEZESHA WAFANYABIASHARA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here