Home LOCAL MKAZI WA FUONI ATUPWA JELA MIAKA 14 KWA KOSA LA ULAWITI ZANZIBAR

MKAZI WA FUONI ATUPWA JELA MIAKA 14 KWA KOSA LA ULAWITI ZANZIBAR

Na: Halfan Abdulkadir, Zanzibar.

Mahakama ya Mkoa Vuga imehumukumu kwenda jela miaka 14 na kulipa Fidia ya Shil Laki tano Hamid Salum Sheria ( 34) mkazi wa Fuoni Kipungani Unguja, Kwa kosa Kumlawiti Mtoto wa kiume Mwenye umri wa miaka mitano.

Akitoa maelezo ya hukumu hiyo leo Septemba 12, 2023 Hakimu wa mahakama hiyo Khamis Ali Simai amesema, Mahakama imejiridhisha bila chembe ya shaka kwamba mshtakiwa huyo ametenda kosa Hilo.

Kumlawiti Mtoto wa kiume ni kosa kisheria, na ni kinyume ya Kifungu 116 (1) Cha sheria ya adhabu namba 9/2018.

Kesi hiyo ya Ulawiti ilifunguliwa Mahakamani hapo Julai 6, 2023 ambapo jumla ya Mashahidi watano walitoa ushahidi wao mahakamani hapo na kusomwa hukumu hiyo.

Previous articleWAZAZI, MC, DJs WAPIGWA MARUFUKU KUSHIRIKISHA WATOTO SHUGHULI ZA USIKU
Next articleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMATANO SEPTEMBA 13-2023
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here