Home BUSINESS DKT. NCHEMBA ATETA NA NAIBU KIONGOZI WA SHIRIKA LA MAENDELEO LA MAREKANI...

DKT. NCHEMBA ATETA NA NAIBU KIONGOZI WA SHIRIKA LA MAENDELEO LA MAREKANI BI. ISOBEL COLEMAN

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Shirika la Maendeleo la Marekani (USAID), ukiongozwa na Naibu Kiongozi Mkuu wa Shirika hilo, Bi. Isobel Coleman, katika Ofisi za Hazina Ndogo Jijini Dar es Salaam, ambapo wamejadili masuala mbalimbali ya kuimarisha uhusiano kati ya Marekani na Tanzania.

Previous articleKINANA ATANGAZA HATARI KWA WANAONYATIA MAJIMBO
Next articleBRELA YASHIRIKI JUKWAA LA AGRF2023
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here