Home LOCAL WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA OFISI YAKE MAONESHO YA NANENANE MBEYA

WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA OFISI YAKE MAONESHO YA NANENANE MBEYA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametembelea banda la Ofisi yake wakati wa Maonesho ya Kilimo Kimataifa Nane Nane yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya tarehe 3 Agosti, 2023.

Kauli Mbiu ya Maonesho hayo ni ‘Vijana na Wanawake ni Msingo Imara wa Mifumo Endelevu ya Chakula’

     

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here